Bei na Mipango
Bei zote ni kwa Shilingi za Kitanzania (TZS). Malipo ya mpango ni tofauti kabisa na michango ya wanachama.
Bure
Kwa Jumuiya ndogo zinazoanza.
Bure
- Kaya: 30
- Wana Jumuiya: 150
- Watumiaji (viongozi): 3
- Ripoti za msingi
- Risiti za PDF
Kawaida
Kwa Jumuiya nyingi za ukubwa wa kati.
TZS 10,000 / mwezi
au TZS 100,000 kwa mwaka
- Kaya: 150
- Wana Jumuiya: 800
- Watumiaji (viongozi): 6
- Ripoti zote
- Export CSV, Excel, PDF
- Registration links
- Siku 30 za majaribio bure
Kubwa
Kwa Jumuiya kubwa zenye viongozi wengi.
TZS 25,000 / mwezi
au TZS 250,000 kwa mwaka
- Kaya: Bila kikomo
- Wana Jumuiya: Bila kikomo
- Watumiaji (viongozi): 15
- Kaya na wanachama bila kikomo
- Support ya kipaumbele
- Siku 30 za majaribio bure