Ruka hadi maudhui
Jumuiya.app

Jinsi Jumuiya.app inavyofanya kazi

  1. 1

    Sajili Jumuiya

    Chagua kanisa (mfano KKKT au Roman Catholic), jaza Usharika/Parokia na jina la Jumuiya. Wewe unakuwa Mwenyekiti wa akaunti.

  2. 2

    Idhini

    Kulingana na mipangilio ya jukwaa, Jumuiya inaanza mara moja au baada ya kuidhinishwa na Jumuiya.app.

  3. 3

    Sajili Kaya na wanachama

    Ongeza Kaya kwa kumchagua Mkuu wa Kaya, kisha wanakaya. Au tengeneza registration link salama na uitume WhatsApp.

  4. 4

    Teua viongozi

    Mpe Katibu na Mtunza Hazina access, kila mmoja na ruhusa zinazomhusu.

  5. 5

    Anzisha michango na vitabu

    Unda mchango (mfano Ada ya mwezi), kisha fungua kitabu cha mwaka. Mfumo unahesabu kiasi kinachotarajiwa kwa kila Kaya.

  6. 6

    Rekodi malipo na toa risiti

    Mtunza Hazina anarekodi malipo moja moja au kwa jedwali (kama Excel). Kila malipo yanapata risiti.

  7. 7

    Funga kitabu na pata ripoti

    Mwisho wa kipindi, funga kitabu. Ripoti ya kufunga na ripoti nyingine zote zinapatikana kwa CSV, Excel au PDF.