Futa Akaunti
Unaweza kuomba kufuta akaunti yako ya kuingia kwenye Jumuiya.app na Jumuiya App kwa njia mojawapo:
- Tuma email kwa [email protected] kutoka kwenye email ya akaunti yako, au taja namba ya simu ya akaunti yako, ukiandika "Futa akaunti yangu".
- Au mwombe kiongozi wa Jumuiya yako (mfano Mwenyekiti au Katibu) akuondolee access na akuombee kufutwa.
Kinachofutwa
Akaunti yako ya kuingia: jina, email, namba ya simu, nenosiri na access zako zote. Tutathibitisha ombi lako na kulikamilisha ndani ya siku 30.
Kinachoweza kubaki
Kumbukumbu za michango na fedha ni mali ya Jumuiya na zinaweza kubaki kwa uwajibikaji wa Jumuiya, bila kuunganishwa na akaunti yako ya kuingia. Taarifa zako kama mwanajumuiya (kwenye Kaya) zinaweza kufutwa au kusahihishwa kwa ombi kupitia viongozi wa Jumuiya yako.
Soma zaidi kwenye Sera ya Faragha.